Jinai
IQNA - Nyumba ya Hujjatul Islam Sayyid Sadreddin Al-Qabanchi, Imamu wa Swala ya Ijumaa ya mji mtakatifu wa Najaf nchini Iraq, imeshambuliwa leo.
Habari ID: 3479670 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/30
IQNA – Makumi ya maelfu ya watu walihudhuria swala ya Ijumaa katika Uwanja wa Swala wa Imam Khomini jijini Tehran katika swala ya kihistoria ambayo iliongozwa na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei tarehe 4 Oktoba 2024.
Habari ID: 3479538 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/05
Kadhia ya Palestina
Makumi ya maelfu ya waumini walifanya sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al-Aqsa, licha ya vikwazo vilivyowekwa na majeshi ya utawala katili wa Israel.
Habari ID: 3479157 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/20
TEHRAN (IQNA) – Misikiti 487 katika eneo la Sharjah nchini Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) itaruhusiwa tena kuwa na swala za Ijumaa kuanzia Disemba 4.
Habari ID: 3473394 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/25
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Wakfu na Masuala ya Kiislamu Jordan amesema marufuku ya Swala ya Ijumaa nchini humo sasa imeondolewa.
Habari ID: 3473374 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/19
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya Morocco imetangaza kupiga marufuku tena swala za Ijumaa nchini humo kutokana na kuenea tena kwa kasi ugonjwa wa corona au COVID-19 nchini humo.
Habari ID: 3473191 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/21
TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Wakfu nchini Misri Sheikh Mukhtar Gomaa, ameamuru kuazishwe kampeni ya kitaifa ya kutayarisha misikiti kote nchini kwa ajili ya Swala ya Ijumaa wiki hii.
Habari ID: 3473094 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/23
TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Wakfu nchini Misri Sheikh Mohammad Mokhtar Gomaa ameahidi kuwa serikali inatafakari kuhusu kuruhusu tena swala ya Ijumaa nchini humo ambayo imeendelea kupigwa marufuku hata baada ya misikiti kufunguliwa tena wiki hii.
Habari ID: 3472908 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/28